Mapema mwezi Septemba, mlolongo wa vifo visivyoeleweka vya watoto katika mji mdogo wa Madhya Pradesh uliwafanya wahudumu wa afya kuingiwa na taharuki. Angalau watoto 11 wenye umri kati ya mwaka mmoja ...